RAIS DKT.SHEIN AZUNGUMZA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI IKULU ZANZIBAR | ZamotoHabari

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas D.Ndumbaro, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulia leo, 1/3/2019.(Picha na Ikulu) 
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha, leo, 1/3/2019. Ikulu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. Mhe.Dkt. Damas D.Ndumbaro, wakitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ikulu Zanzibar leo,1/3/2019.(Picha na Ikulu)   

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini