Rais Magufuli ameyasema hayo leo, Ikulu jijini Dar Es Salaam, wakati akipokea ripoti kutoka TAKUKURU.
"Balozi wa Zambia, sifahamu kama ameshaondoka. Anaenda Zambia tu hapo lakini kila siku anaaga.
Anaaga mara kwa Waziri mkuu, mara sijui ofisi gani, sasa ataaga mpaka kwa wakuu wa mikoa na akimaliza kuaga na ubalozi hakuna," amesema Rais Magufuli.
"Nakupongeza Balozi Mlowola, nenda kafanye kazi, usichelewe kuondoka eti unaaga aga. Nimeshaona hawa Mabalozi nikiwateua kila siku wapo kwenye ofisi wanakwenda kuaga."
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments