Rwanda na Uganda zaingia Kwenye Mzozo Mkubwa | ZamotoHabari.


Serikali ya Uganda imeishutumu Rwanda kwa kuyazuia magari ya mizigo, ya abiria na Wananchi wake kuingia nchini humo

Msemaji wa Serikali ya Uganda, Ofwono Opondo amewaambia Waandishi wa Habari kuwa takribani magari ya mizigo 129 yamekwama kwenye mpaka wa Uganda na Rwanda

Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda, Richard Sezibera amekanusha shutuma hizo na kusema magari yalitakiwa kuvuka kupitia mpaka wa Kagitumba

Akaongeza kuwa mpaka wa Gatuna umefungwa kwa ajili ya kupisha ujenzi
-
Rwanda imesema kuwa imewazuia raia wake kwenda Uganda kwakuwa wamekuwa wakikamatwa kwa tuhuma za kutumwa kwenda kupeleleza


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini