Serikali Mbioni Kuanzisha mradi mkubwa wa daraja | ZamotoHabari.

Serikali imetangaza mpango wa ujenzi wa mradi mkubwa wa daraja ambao utaleta mageuzi makubwa katika sekta ya usafriri nchini lakini haijataja ni wapi utajengwa na ni lini utaanza ujenz


Taarifa hiyo imetolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dakt Hassan Abasi kupitia ukurasa wake wa Twitter, ambapo ameuita mradi huo kuwa ni utekelezaji wa mageuzi ya kaulimbiu ya 'TUNATEKELEZA2019'.

Baada ya kutazama angani na darajani sasa mageuzi ya #TUNATEKELEZA2019 yanaendelea majini...ni wapi na nini kinatokea? Usikose nitafafanua hivi karibuni. pic.twitter.com/aKJ9qh7B9d


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini