SIMBA MWENDO WA KICHAPO TU!! WAIADHIBU STAND UNITED 2-0 NYUMBANI

Dakika 90 za mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Stand united zimemalizika kwa Simba kutembeza kichapo kwa Stand United 2-0.

Stand United 0-2 Simba SC.
Uwanja: CCM Kambarage
Mfungaji mabao mawili ni John Bocco dakika ya 52p,66.

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini