Bwana huyu ambaye anawapendwa wanyama Michal Prasek ameuawa na simba wake kipenzi aliyekuwa anamfuga nyumbani kwake jijini Zdechov katika Jamhuri ya Czech. Prasek alimnunua simba huyo 2016.
Babake aliyeupata mwili wake ndani ya zizi la simba aliwafahamisha waandishi wa habari kuwa zizi la simba lilikuwa limefungwa kwa ndani. Polisi waliwauawa simba hao wawili.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments