Update: Mwili wa Ruge Waagwa na Maelfu Bukoba Safari ya Kuzika Yaanza | ZamotoHabari.

Update: Mwili wa Ruge Waagwa na Maelfu Bukoba Safari ya Kuzika Yaanza
MWILI wa mpendwa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba tayari umefika katika Viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba kwa ajili ya sala, salamu za mwisho na kuagwa kabla ya kuzikwa kijijini kwao.



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini