Watu 15 Wapoteza Maisha Kwenye Mlipuko Nchini Mogadishu | ZamotoHabari.

Mlipuko mkubwa, sauti za bunduki na mabomu imesikika ndani ya Hoteli ya Maka Al-Mukarama Mjini Mogadishu na kundi la Al-Shabaab linadaiwa kuhusika na tukio hilo

Mpaka sasa idadi ya majeruhi imeongezeka hadi kufikia watu zaidi ya 60



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini