Wema Sepetu "Nilipitia KIPINDI Kigumu Sana Nahisi Kuna Mtu Alinipumbaza" | ZamotoHabari.


Wema Sepetu amefunguka maisha yake ya nyuma na kusema haya:

“Nilipita kwenye kipindi kigumu sana jamani, nimerudi nyuma sana yaani kifupi naanza maisha upya na mpaka sasa siamini kile ambacho kilinitokea yaani kama mtu alinipumbaza"- WEMA SEPETU"
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini