Baba Diamond Atoa Wimbo, Mange Amshauri Afanye Collabo na Hamissa Mobetto | ZamotoHabari.

Baba Diamond amewashangaza watu wengi baaada ya Video kusambaa akionekana akiiimba katika wimbo unaitwa Mwewe aliyoshirikishwa na Sungura Madini

Mange Baada ya Kuona wimbo huo amefurahia na kuandika yafuatayo:

Reposted from @mangekimambi_  -  Nyambaf, Kama humpendi lamba lolo 🤣😂🤣,Jamani  Baba Diamond nae kaingia kwenye gemu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mmemuona big lion lakini? 🤣😂

@hamisamobetto fanya collabo na baba mkwe, hiyo mta trend dunia nzima 😂

Mi naona jina la kisanii ajiite ‘Baba Chibu’ ndo ata kiki..

Jamani mfungulieni Account insta apate followers leo. .
.
@officialalikiba msajili mzee basi

Ahsante Baba Chibu kwa kunifurahisha maana leo niko so sad kuhusu nywele za wanangu" Mange Kimambi
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini