SPIKA NDUGAI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU UVCCM TAIFA JIJINI DODOMA | ZamotoHabari

 Spika wa Bunge,Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa, Ndg. Raymond Mwangwala alipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma.

(PICHA NA OFISI YA BUNGE)

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini