Askofu Gwajima Aikana Video ya Ngono Inayosambazwa Mitandaoni... Amtangazia Kiama Aliyemchafua | ZamotoHabari.

Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima leo Jumatano Mei 8, 2019 ameikana video ya ngono inayosambaa mitandaoni kwa kusema kuwa video hiyo imetengezwa kwa kuchukua sehemu ya mwili wake na mwili wa mtu mwingine.

Gwajima amesema mkono unaooneka katika video ile sio wa kwake, bali ni wa Baunsa lakini akakiri kuwa kifua kilichotumiwa ni picha yake ambayo aliipiga miaka 10 iliyopita akiwa na familia yake.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini