Kamanda Mambosasa Afunguka Kuhusu Video Chafu ya Gwajima...Tayari Tushamwita Polisi Aje Kesho Kwa Mahojiano..La sivyo Tunamkamata | ZamotoHabari.

Kamanda Lazaro Mambosasa ameongea na AyoTV namnukuu “Tayari Askofu Gwajima ameitwa Polisi kwa ajili ya kuhojiwa na ataripoti kesho asubuhi, akichelewa atakamatwa na tumemuita sababu hakuna aliyelalamika lakini tumeona ni kitendo cha ukiukwaji wa maadili, awe Askofu awe Mtu wa kawaida ule ni unyama” wa kawaida ule ni unyama" -Kamanda Mambosasa  


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini