Haya ni maneno ya Mke wa Askofu Gwajima “Mimi ni Jasiri kama Simba, ukweli ninaufahamu, Mume wangu ninamfahamu na ninamuamini, na ukweli huo hakuna anayeweza kuubadilisha, niko pamoja na yeye, nitasimama na yeye na Mungu akiwa upande wetu hakuna atakayeweza kuwa juu yetu‘’.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments