MREMBO WA DUNIA WA UANDISHI WA HABARI ATEMBELEA BUNGE | ZamotoHabari.

Mrembo wa Dunia wa Uandishi wa Habari (Miss World Journalism 2018) Nina Yevtushenko kutoka Nchini Ukraine atembelea Bunge na kujionea namna Vikao vinavyoendeshwa hii leo Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini