Mtanzania Apokea Zawadi Kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) | ZamotoHabari.

Mtanzania Dk Askwar Hilonga wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela, Arusha amepokea zawadi kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa kubuni njia ya kusafisha maji kwa kutumia 'nanotechnology.' Amepewa zawadi hiyo katika mkutano unaoendelea Jijini Geneva, Uswisi. 



Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini