Mufti wa Tanzania Awakanya Diamond, Harmonize na wasanii Wengine Wanaofuturisha na Kucheza Nyimbo za Kidunia | ZamotoHabari.

Mufti wa Tanzania awakanya Diamond, Harmonize na wasanii wengine wanaofuturisha na kucheza nyimbo za kidunia (+video)
Godfrey Mgallah   14 hours ago 1,085

Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi amewataka waislamu ambao wanawafturisha waislamu wenzao waliofunga kufuata taratibu za dini na kuacha kufanya mambo ambayo yapo kinyume na taratibu.


Ameyasema hayo Jumapili hii katika Mashindano ya Kuhifadhi Quran Tukufu yaliyofanyika Diamond Jubilee ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.

Katika Iftar ya Harmonize iliyofanyika wiki iliyopita, alifanya show ya kutambulisha wimbo wake mpya wa kidunia ambapo wasanii kadhaa wa WCB akiwemo Diamond Platnumz walipanda jukwaaani na kuibua hisia tofauti kwa waislamu
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini