Nyota Yako Leo Jumamosi 25 May 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI 25/MY/ 2019:


🔯NG'OMBE- (April 21– May 21)

Matukio ya kutisha yatasikika katika maisha hiki ni kipindi kizuri kwako kuonyesha uwezo wako utashinda mitihani yote na kukuondoa wasiwasi uliokuwa nao vaa nguo za hudhurungi kuvuta bahati yako.


🔯MAPACHA- (May 22– Juni 21)

Kuna hali ya dharau itakukera nyumbani au kazini kwako hata si wakati mzuri wa kupayuka kama umeolewa utashuhudia kitu kibaya kwa mumeo na kama umeoa jihadhari na fumanizi lisilokuwa na madhara.


🔯KAA- (Juni 22– Julai 23)

Utafanya mengi usiyotarajia na kipato kitaongezeka huu ni wakati wa kuumiza kichwa ili kupata maendeleo zaidi masuala ya mapenzi yataendelea kukuzonga na maradhi au maumivu yatapungua.


🔯SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 23)

Huyo aliyekuahidi jambo muhimu si mkweli na wiki hii utamgundua vumilia kidogo atakayekusaidia atakuja hivi karibuni na utampata bila kutarajia.


🔯MASHUKE- (Agosti 24– Septemba 23)

Utashinda njama za kufanyiwa ubaya nyota inakulinda pia utahitaji maombi maalumu tafuta ushauri kwa watu waliiokuzidi umri.


🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)

Utakutana na mtu atakayekupendeza   machoni na kumuamini vya kutosha lakini anaweza asiwe rafiki au mwenye msaada kwako epuka kuamini kila mtu hasa katika kipindi hiki ambacho na Wewe una matatizo unayohitaji kuyakabili.


🔯NG'E- (Oktoba 24– Novemba 22)

Hiki ni kipindi kizuri cha kuongeza kipato katika maisha yako au mwezi mmoja wa kuona mabadiliko tafuta mafanikio kwa nguvu zote hiki ndicho kipindi ambacho kikipita utakuja kujutia.


🔯MSHALE- (Novemba 23– Desemba 21)

Ulizaliwa uwe mwenye mafanikio una sura na nuru inayong'aa lakini unaharibiwa na watu wasiokutakia mema maendeleo yako tafuta njia ya kujinasua na uache kujiamini kwa kila jambo yapo mengine yatakushinda.


🔯MBUZI- (Desemba 22– January 20)

Kuna nafasi ya kukua kimapato kuliko ulivyo hivi sasa unachokosa ni kujua aina ya maisha yako kinyota unayotakiwa uishi tafuta ushauri wa kinajimu.


🔯NDOO- (January 21– February 19)

Utaendelea kudharauliwa katika hali hii inakupasa kutafuta mbinu mpya za kuongeza kipato nafsi bado unayo na yapo madini maalumu yatakayovuta Mali na jinsi ya kuepuka ufukara.


🔯SAMAKI- (February 20–March 20

Ahadi yako ipo pale pale kwamba mambo mazuri mengi yanakuja kilichopo ni kubadilisha maisha yako kutoka Yale uliyoyazoea na kutafuta mbinu za kupata kuinua kipato si wakati wa kusubiri tena.


🔯PUNDA- (March 20– April 20)

Ni kipindi kizuri kwako kipato kitaonekana na hali ya maisha yako itabadilika heshima vilevile kitaongezeka unachotakiwa ni kuvaa kito cha madini yatakayovuta bahati.                                    

Sheikhe isaya anashukuru mwenyezi mungu kwa kumpa karama ya kuwafundisha na kuwaombea dua viumbe wake.na anawashukuru  wote mliorudi kutowa shukrani kwake.                  sheikhe isaya atakusaidia.kumvuta na kurudisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, kutabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kukuza biashara ,                                          

SHElKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp  +255745495181 au 0682 644040      

www.tumainitibaasili.co.tz


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini