NYOTA YAKO LEO JUMANNE 28/ MAY/ 2019:
🔯MAPACHA- (May 22– Juni 21)
Utahitaji kujipanga zaidi wiki hiikukabiliana na ushindani na wiki utakayojaribiwa likini utafaulu unasahau Sana maombi ambayo kumbe ni msingi mzuri wa maisha yako.
🔯KAA- (Juni 22– Julai 23)
Umenusurika katika mtego mbaya kwako Endelea kuwa mvumilivu na usivamie Jambo usilolijua vizuri lipo Jambo muhimu utakalolazimika kulitenda wiki hii fikiri kabla hujaamua.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Kama ulisubiri kupata kitu muhimu kimaisha wakati umefika epuka kujiingiza katika makundi yanayopinga wakubwa au watawala heshima ndiyo itakayokuacha salama.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Utahitajika kuwa mpole na kuzuia hasira Kuna Jambo litakuudhi lakini ni dalili ya kupata mafanikio makubwa hapo baadaye uwe mvumilivu na usiruhusu kushauriwa na mtu usiyemjua vizuri.
🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Una Mambo mawili makubwa wiki hii umeyapanga nyota yaonyesha moja litafanikiwa na jingine litakuwa gumu kumbuka utakalilianza halitafanikiwa ila litakalofuata ndilo litakaa sawa.
🔯NG'E- (Oktoba 24– Novemba 22)
Kuna malalamiko ya chini yanakujia usihangaike kutafuta sababu wanaofanya hivyo wanakutafuta na hasira zako zitasababisha wakujue zaidi.
🔯MSHALE- (Novemba 23– Desemba 21)
Funga mdomo wako kwa watu usiowajua unaweza kujikuta umeingia kwenye mizozo huu ni wakati wako wa kujali kinachokuingizia kipato utafanikiwa.
🔯MBUZI- (Desemba 22– January 20)
Wenye nyota hii ni wiki yao ya zawadi kupata au kutoa wanaotafuta kazi au Jambo la muhimu ni vizuri wafanye sasa milango ingali wazi.
🔯NDOO- (January 21– February 19)
Umekuwa ukikumbuka Jambo fulani na kuumiza moyo wako mwitikio wa faraja na mafanikio umewadia sasa Kama uliahidiwa Jambo ni vema kulipokea ndio muda wake sasa.
🔯SAMAKI- (February 20– March 20)
Hata Kama utahisi mambo hayaendi na yana ugumu wowote usirudi nyuma wala kukata tamaa mafanikio yako yanakuja kwa aina ambayo wewe hutoamini.
🔯PUNDA- (March 21– April 20)
Utalazimika kutunza mzigo au Siri ya mtu ambayo wewe itakuwa ngeni kwako uvumilivu unaotakiwa utakusaidia lakini wiki hii unaweza kukutana na mtu laghai au asiyependa kusema kweli.
🔯NG'OMBE- (April 21– May 21)
Una dalili zote za kuonyesha furaha kutokana na ahadi ukweli ni kwamba Hilo Jambo utafanikiwa lakini si katika siku ulizopanga Endelea kuvuta subira.
SHEIKHE ISAYA ATAKUSAIDIA KATIKA MAMBO yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kukuza biashara, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
www.tumainitibaasili.co.tz
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments