Muimbaji wa Nyimbo za Asili, Mrisho Mpoto amekubali kuvaa viatu mbele ya waandishi Wa habari Mkoani Kagera ili kufanikisha kampeni ya kitaifa ya usafi wa mazingira ya usichukulie poa nyumba ni choo.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA



0 Comments