Polisi Wavamia Mapango ya Amboni Kusaka Waarifu | ZamotoHabari.

KAMISHNA wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi CP Liberatus Sabas, ameongoza Vikosi Maalum ya Kupambana na Uhalifu katika Operesheni iliyofanyika maeneo yote ya Mapango ya Amboni Jijini Tanga juzi baada ya kupata taarifa kutoka kwa raia wema kuwa kumeonekana baadhi ya watu wasiofahamika na baadhi yao ni wahalifu waliokuwepo kipindi cha nyuma ambao wengi wao walishakaatwa na Jeshi la Polisi na mwisho amewataka wananchi kuendelea kutoa ushirikiano na taarifa katika Vyombo vya Ulinzi na Usalama.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini