RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI NCHINI AFRIKA KUSINI KWAAJILI YA SHEREHE YA UAPISHO WA RAIS MTEULE WA NCHI HIYO MHE.CYRIL RAMAPHOSA | ZamotoHabari.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa OR Tambo Nchini Afrika Kusini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019.

Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Rais mstaafu wa awamu ya nne Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete wakiwa kwenye ndege ya Shirika la ndege la Tanzania (Air Tanzania) wakielekea Nchini Afrika Kusini kwaajili ya Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa nchi hiyo Mhe.Cyril Ramaphosa ambaye anatarajiwa kuapishwa Mei 25,2019. PICHA NA IKULU.


Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini