RC Makonda aeleza alivyolipiwa deni la zaidi ya mil 140 na mzee Mengi, | ZamotoHabari.

Mkuu wa mkoa wa Dar Es salaam Mh. Paul Makonda ameeleza jinsi roho nzuri ya mzee mengi ilivyokuwa na kueleza jinsi alivyosaidiwa zaidi ya milioni ya 140 kulipa deni lake katika moja ya sherehe zake alizofanya na kuwaalika viongozi wa dini ya kikristo.



akiongea wakati wa kuaga mwili wa Mengi katika ukumbi wa Karimujee jijini Dar Es Salaam Makonda amesema:-
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini