Sakata la Video ya Ngono Kuvuja...Askofu Gwajima Aitisha Mkutano na Waandishi wa Habari | ZamotoHabari.




Kutoka na Video chafu inayozunguka mitandaoni ikimuonesha anayesemekana kuwa ni Askofu Gwajima, Askofu huyu ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Instagram
Taarifa kwa vyombo vya Habari, Nitakuwa na mkutano na vyombo vya habari leo Jumatano Tarehe 8.5.2019 Kuanzia saa tano asubuhi, Wanahabari wote mnakaribishwa, Mahali; Ufunuo na Uzima, Ubungo0


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini