Tazama Video Jinsi Mabweni ya Shule ya Ashira Yanavyoteketea kwa Moto, Mwanafunzi Analia Juma Atoke ndani | ZamotoHabari.


Mabweni ya Shule ya Sekondari wasichana Ashira, iliyopo Marangu Mkoani Kilimanjaro yanateketea kwa moto. Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira amethibitisha kutokea kwa tukio hilo huku akieleza kuwa Askari wa Kikosi cha Zimamoto wanaendelea na jitihada za kuuzima.

VIDEO:


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini