Katika tukio hilo Askari wapatao 20 wamejeruhiwa wakati wakifanya jitihada za kutuliza ghasia hizo katika gereza la Acarigua.
Gereza hilo lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi Wafugwa 250 lakini kwa sasa lina takribani Wafungwa 540.
Matukio ya ghasia na vifo wametokea kwa miaka 3 mfululizo nchini Venezuela ambapo Agosti, 2017 wafungwa 38 walifariki baada ya kuzuka kwa mgomo gerezani. Machi 2018, Wafungwa 68 walifariki katika ghasia zilizopelekea mlipuko wa moto.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments