Venezuela: Katika tukio hilo Askari 20 wamejeruhiwa wakati walifanya jitihada za kutuliza ghasia hizo katika gereza la Acarigua
Gereza hilo lilijengwa kwa ajili ya kuhifadhi Wafugwa 250 lakini kwa sasa lina takribani Wafungwa 540
Matukio ya ghasia na vifo wametokea kwa miaka 3 mfululizo nchini Venezuela ambapo Agosti, 2017 wafungwa 38 walifariki baada ya kuzuka kwa mgomo gerezani
Machi 2018, Wafungwa 68 walifariki katika ghasia zilizopelekea mlipuko wa moto
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments