Waziri wa Medard Kalemani alivyowasili kwenye nyumba ya mzee Ambilikile Mwaisapile (babu wa Loliondo) tayari kwa kuwasha umeme katika tarafa ya Samunge wilaya ya Ngorongoro,kulia kwake ni mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo.
Babu wa Loliondo Ambilikile Mwaisapile akiushukuru viongozi waliotembelea nyumbani kwake na kuwasha umeme,Kulia kwake ni Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kaleman,Naibu wa Elimu Nishati na Teknolojia William Olenasha,mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo,Mkuu wa wilaya ya Ngorongoro.
Waziri wa Nishati Dkt Medadi Kalemani akiwa katika wilaya ya Ngorongoro makao makuu ya wilaya hiyo Loliondo,Kata ya Samunge tayari kwa kuwasha Umeme kulia kwake ni mbunge wa Ngorongoro William Olenasha ambae pia niNaibu waziri wa Elini ,kushoto kwake ni Ambilikile Mwaisapile( babu wa loliondo) ambapo umeme unawashwa leo
Diwani wa Kata ya Samunge Kajurus Stivin akiongea kumkaribisha mhe Waziri wa Nishati Dkt.Kalemani katika kata hiyo tayari kwa kuwasha umeme
Mbunge wa Ngorongoro ambaye pia ni Naibu waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia akizungumza katika kata ya samunge tayari kumkaribisha waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalema kuwasha umeme ambapo tangia kupata uhuru kijiji hichi hakijapata umeme unawashwa kwa mara ya kwanza,digodigo na Ngorongoro.
Waziri wa Nishati Medard Kalemani akisalimiana na wanafunzi wa shule ya msingi Bisikene iliyopo wilaya ya Ngorongoro kata ya samunge yenye darasa la kwanza hadi la nne ambapo amekwenda kuwasha umeme leo.
Wanafunzi wa shule ya msingi Bisikeni iliyopo wilaya ya Ngorongoro kata ya Samunge wakimkaribisha Waziri wa Nishati leo.
Wananchi wa kata ya digodigo,kata ya digodigo,tarafa ya Sale wilayani Ngorongoro
Wakazi wa Kijiii cha Digodigo ,Kata ya Digodigi Tarafa Sale wilaya ya Ngorongoro wakiwa tayari kumsikiliza waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani leo.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO












0 Comments