AUDIO: Ni kiki Kuachana kwa Vanessa na Jux? Mashabiki Wahoji | ZamotoHabari.


Story kubwa ambayo ilikua ikizungumzwa na wengi ni kuhusu couple ya Vanessa Mdee na Jux kuachana hii ni baada ya Vanessa kuthibitisha hilo kwenye insta story yake siku kadhaa zilizopita baada ya kuulizwa na shabiki kama ni kweli wameachana na Jux.

Vanessa  alijibu ni kweli wameachana lakini watabaki kama marafiki wa karibu,Sasa leo kupitia instagram page ya Jux amepost ngoma alimyomshirikisha Vee inaitwa Sumaku’ ikiwa ni moja ya ngoma ambayo inapatikana kwenye Album ya Jux yani the love Album ambayo intajwa kuachiwa rasmi hivi karibuni.


Mashabiki wamekuwa wakijiuliza kama ni kiki wamefanya baada ya vee kukiri kuwa wameachana ili ngoma ipate views na ishu kama hizo hapo baada ya mistari ya ngoma hiyo kusikika Jux akimmwagia sifa kibao mtoto wa kipare ambaye ni Vanessa Mdee.

Kumbukua kua Vanessa na Jux waliwahi kufanya ngoma ya pamoja “Juu” ambayo iliachiwa rasmi Dec 12,2016

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini