Diamond Adai Zari Bado Anaumia Kuachana Nae, Amsifia Hamisa Mobetto na Kudai ni Muelewa | ZamotoHabari.

 Diamond katika mkutano wa kuzindua tamasha la Wasafi, aliulizwa swali kuhusu ukaribu wake na watoto wake na kujibu kuwa kwa huyu wa Dar ambae amezaa na Hamisa Mobeto hakuna shida

'Hamisa ni Mwelewa sana linapokuja swala la Mtoto na amemove on na maisha yake, ila yule wa South sio mwelewa bado haamini kama tumeachana naniblock mpaka kwenye account za intagram za watoto"

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini