Kenya: Mtanzania Afungwa Miaka 30 Kwa Kukutwa na Dawa za Kulevya | ZamotoHabari.

Mahakama ya Mombasa imemhukumu Hussein Idd kifungo cha miaka 30 jela na kulipa faini ya Ksh milioni 90 (zaidi ya bilioni 2 za Tanzania) kwa kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya kilo 10 za Heroine Machi 2018 kwenye hoteli ya Regency, Mombasa

Hakimu Kagoni amesema, endapo Idd atashindwa kulipa shilingi milioni 90 za Kenya ataongezwa miaka mitano mingine jela 


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini