Msanii wa Muziki wa Kughani kutoka Mpoto Theatre, Mrisho Mpoto akizungumza na wakazi wa Biharamulo juuu ya umuhimu wa kujenga vyoo bora kwa jamii hiyo hili iweze kuepukana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko katika kampeni yake ya nyumba ni choo
Msanii wa Muziki wa Kughani Mrisho Mpoto Akizungumza na Wazee wa Biharamulo Mkoani Kagera wakati wa kampeni yake ya kuhamasisha ujenzi was vyoo Bora inayojulikana usichukulie poa nyumba no choo
Mrisho Mpoto na Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo wakiwa katika maandamano ya amani #Usichukuliepoanyumbanichoo
Msanii wa Muziki wa Asili Mrisho Mpoto akiwa ameketi na Wanafunzi wa Karagwe waliofika kugatilia kampeni za Nyumba ni choo
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO







0 Comments