Msanii mkongwe Mr Nice baada ya maneno mengi na kuambiwa amefulia hana tena uwezo wakipesa kama enzi zake za zamani amewajibu mashabiki wanaosema maneno kwa kutambulisha bidhaa yake mpya ya maji inayotambulika kwa jina la Mr Nice Water. . **HONGERA kumpongeza Mr Nice Mzee wa TAKEU
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments