Mrembo WELLU Sengo Afunguka Kuzaa Watoto Wanne....Aulizwa Kuhusu STEVE Nyerere.. | ZamotoHabari.



MSanii wa filamu Bongo, Wellu Sengo amefunguka kuzaa watoto wanne. akipiga stori na Za Motomoto, Wellu ambaye anadaiwa kuzaa na msanii mwenzake, Steven Mengere ‘Steve nyerere’ amesema kuwa anatarajia kuzaa watoto wanne ingawa hakutaka kumtaja mzazi ambaye atazaa naye.

“Natarajia kuwa na watoto wanne lakini siwezi nikasema hao watoto nitazaa na nani?”Alisema wellu, alipoulizwa kuzaa tena na Steve Nyerere, alibaki akicheka na kukata simu.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini