Msafara wa Nandy Festival Uliokuwa Ukielekea Sumbawanga Wapata Ajali Mikumi | ZamotoHabari.


Gari moja aina ya Coaster ambalo lilikuwa likielekea kwenye Show ya Nandy Festival mkoani Sumbawanga limepata ajali Mikumi mkoani Morogoro usiku huu na baadhi ya watu ambao hawakutambulika mara moja wamekimbizwa hospitali kwaajili ya matibabu
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini