Nimevumilia Nimeshindwa, Mpenzi Wangu Amerudi Amelewa na Hana Nguo ya Ndani 'Boxer' | ZamotoHabari.


Jamani nasumbuliwa na shemeji yenu ndoa hii ina tabu sana nimevumilia mpaka basi , Jana Mume Wangu karudi nyumbani saa nne usiku amelewa chakari , akajilaza tu kitandani na suti yake , nikaamua nimvue ili alale vizuri , cha kushangaza wadau nikakuta hana Nguo ya Ndani Bukta ama Boxer ambayo alivaa asubuhi baada ya kumpigia pasi....

Sasa nimebaki najiuliza maswali mengi ilikuwaje akaivua na alienda tu kazini na jioni aliniambia anapata moja mbili na marafiki zake?


Bado sijamuuliza nini kilitokea ila naombeni ushauri nifanyaje?
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini