Nyota Yako Leo Alhamisi 13 Jun 2019 | ZamotoHabari.


NYOTA YAKO LEO ALHAMISI 13/JUNIa/ 2019

🔯KAA- (Juni 22- Julai 23)
Mtu ambaye hujakutana nae kwa siku nyingi atarudi na atakushirikisha katika mipango ya faida katika maisha yako, hivyo basi kaa tayari kumsubiri wakati wowote atawasili.

🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Kuna kitu kimekutoka na hapo ulipo unafikiria sana kuhusiana na kitu hicho. Fanya juu chini ukipate kwa sababu madhara yake yanaonekana yatakuwa makubwa sana.

🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Kazi unayofanya kwa sasa ni nzuri ila unatakiwa kufanya bidii zaidi katika kazi hiyo na tafuta njia zaidi za kupata pesa. Leo ni siku iliyogawanyika nusu kwa nusu nzuri na mbaya.

🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Inaonekana kuwa mambo ya kipesa yanakutatiza sana na hutoweza kujikwamua na hali hiyo ngumu mpaka upate msaada wa mtu Fulani ambaye uliwahi kumuomba msaada. Mwendee hivi sasa.

🔯NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Mapenzi yaliyokutoka au kuharibika hayatatengemaa tena, pamoja na hayo usijute kwa sababu kuna mazuri mbele ya safari ambayo yatakujia wiki hii kutoka sehemu ambayo hukuitegemea, ondoa khofu.

🔯MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Wafanyakazi wenzio wanaweza kukufaa katika kazi zako jitahidi uone hukwami kumaliza jukumu la kikazi ulilopewa kila siku la si hivyo fitina ofisini zitakuandama.

🔯MBUZI- (Desemba 22- January 20)
Mambo yako na ya jamaa yako yanaonekana kuharibika kidogo hivyo unashauriwa ukutane na mnajimu haraka iwezekanavyo la sivyo matatizo yatazidi na madhara yatakuwa makubwa sana.

🔯NDOO- (January 20- February 19)
Bahati itakujia hivi karibuni na utapata pesa, kuwa muangalifu katika matumizi yako la sivyo unaweza kuja kujuta hapo baadae kutokana na matumizi mabaya uliyoyafanya.

🔯SAMAKI- (February 20- March 20)
Wakati wa starehe umekwisha, sasa ni wakati wako wa kufikiria juu ya maisha yako Mambo sio mazuri kwa upande wako na usifanye mchezo utaharibikiwa pakubwa.

🔯PUNDA- (March 20- April 20)
Umaarufu wako ulionao utakusaidia kufanikisha mambo Fulani na kukuletea faida kubwa ya kipesa. Usiwe mbali na unashauriwa fedha hizo utakazopata zitumie na jamaa zako pamoja na familia yako.

🔯NG'OMBE- (April 21- May 21)
Leo Jaribu uwe mtu mwenye roho nzuri kwa kila mtu kwa sababu kwa kufanya hivyo unaweza kupata faida usiyoitegemea ambayo itakunufaisha kimaisha wewe na familia yako.

🔯MAPACHA (May 22- Juni 21)
Mpango wowote uliokuwa nao, sasa ndio wakati wake hasa wa kuutekeleza kutokana na hizo fedha kidogo ulizopata, muda ukipita hutafanya lolote, wakati ndio huu.                                               SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake.na wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook tumaini tiba asili ama fika ofisini magomeni msikiti wa kiyungi  simu au whatsapp +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini