NYOTA YAKO LEO ALIHAMISI 20/JUNE/ 2019:
🔯KAA– (Juni 22– Julai 23)
Siri uliyoiweka moyoni huenda ikatoka bila mwenyewe kutarajia Jambo unalotaka kulifanya ukitarajia litakuwa moyoni mwako tayari limeshasambaa hivyo ongeza uangalifu katika mambo muhimu unayopenda yawe Siri.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Utajikuta uko mpweke na kuhisi Kama vile unatengwa lakini isikuvunje moyo Kuna bahati inakuja mbele yako itakayokuondolea wasi wasi na mafanikio sasa yatakuja kwa nguvu na uhakika zaidi ya mwanzoni.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Mambo yako yatakaa vizuri pia Jambo lililokuwa linakupa mashaka litayeyuka unalitaka kulifanya kwa Siri litakaa vizuri lipange vizuri ili kuupa moyo wako amani ni kipindi utakachopata mipango mingi muhimu.
🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Hutoamini jinsi mambo yako yatakavyokuwa rahisi utakachopanga kitakuwa kwawakati muafaka jitahidi uwe mkweli kuongeza uaminifu mafanikio yako yapo mikononi mwa watu waaminifu.
🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Utapokea ugeni au kusubiriwa na mtu muhimu Sana aliyekutafuta kwa kipindi kirefu hii ni wiki ya kurudia macho ya nyuma utashangaa jinsi utakavyokuwa ukipata riziki na kuzidi kupendwa na watu.
🔯MSHALE– (Novemba 23– Desemba 22)
Kinachokukwamisha ni kutojua mapungufu yako wenzako ulionao wanayajua hayo lakini wanashindwa kukwambia utatuzi wa kinyota ni wewe kujishusha na kuomba msaada hata Kama Jambo unalijua utaona faida yake.
🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Utakuwa mwenye kuhangaika na Safari au kuhama kutoka sehemu moja kwenda nyingine au kumsaidia mtu kusafiri hii ni dalili ya kurudishiwa ulichokipoteza kwa njia yoyote nyota hii inang'aa kipindi hiki wanaohitaji misaada watasikilizwa.
🔯NDOO– (January 21– February 19)
Wewe ndiyo unayetarajiwa kuwa furaha ya mwenzako ukimya wako na kupoteza mawasiliano kunaleta hofu kubwa kumbuka hii Ni wiki nzuri ya kuwa pamoja naumpendaye Kuna riziki pia itakuja kati yenu.
🔯SAMAKI– (February 20– March 20)
Utakayoyasikia wiki hii hata Kama yatakukera lakini yatakusaidia Sana kujijenga na kurudisha furaha yako jenga mazingira ya kuwa karibu na mtu unayedhani anakupinga kuba bahati utapata siku ya IJUMAA.
🔯PUNDA– (March 21– April 20)
Unalolitaka liwe litakuwa lakini kwa kuchelewa unatakiwa uongeze uvumilivu na kauli nzuri kwani zipo dalili za kuharibu mahusiano na mtu wako jishushe ili mambo yako yasonge.
🔯NG'OMBE– (April 21– May 21)
Jiandae kupanda kikazi au kuongezewa majukumu hata Kama uko nyumbani yapo mambo yatakayokuongezea mzigo lakini ni dalili ya kupata faida kubwa hapo mbele uwe mvumilivu na usielekeze fikra zako Sana katika mapenzi simu muda wake.
🔯MAPACHA– (May 22– Juni 21)
Utakuwa mwenye wasiwasi na hali ya kushtuka hizi ni dalili ya kukutana na mtu uliyepotezana naye muda mrefu ambaye atarudisha ukaribu wenu na mambo mengi mtayafanya ndani ya siku hizi tatu.
SHEIKHE ISAYA ANAMUSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk na kama unaitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili<<utaona yota yako ama fika ofisini kwetu magomeni kanisani whatsapp +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments