NYOTA YAKO LEO IJUMAA 14/JUNE/ 2019:
🔯 KAA- (Juni 22- Julai 23)
Kuna mambo yako yanazuiwa umejaribu kupambana ila hujui ulikokwamia hii ni wiki iliyofunguka kwako utagundua kila kilichokwama na utaweza kujiondoa kwenye sintofahamu.
🔯SIMBA LEO- (Julai 23- Agosti 23)
Kuna Jambo unahitaji kulifanya lakini moyo una uzito kinachokuzuia ni kikwazo tu cha maisha yako ukijilazimisha kuondoa hali hiyo na kujaribu kufanya Jambo utafanikiwa na utatoka hapo ulipo na kusogea mbele kimaisha.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Usipoangalia hii ni wiki ya kushuka kwako unaweza kuondolewa sehemu unayotegemea au kutengana na mtu au sehemu muhimu kwako unatakiwa kubadili tabia na kuwa mwenye ari ya kuamka mapema na kufanya kazi kwa bidii.
🔯MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Wenye nyota hii watahitajika kutoa misaada hakutakuwa na njia ya kukwepa ugeni nao utawasogelea lakini bado hali ya kipato au mipango yao itazidi kufanikiwa kwa Siku zote.
🔯NG'E– (Oktoba 24- Novemba 22)
Kuna hofu imeingia kwa watu wanaotaka kuwa karibu na wenye nyota hii japokuwa wenye mambo mazuri lakini wanajisikia kuhofia ili kuondoa hali hii inabidi muwe wazungumzaji sana wiki hii kuuliza mtu Kama ana lolote kwako.
🔯MSHALE– (Novemba 23– Desemba 21)
Utahisi umefunguliwa kutoka kuwa mwenye hali ya uzito fulani ndiyo kipindi kizuri kwako kufanya mambo yako yaliyokwama ila si muda mzuri kuomba msaada wengi uliokaribu nao watakuangusha.
🔯MBUZI- (Desemba 22– January 20)
Wenye nyota hii watakumbwa na mabadiliko yoyote Kama kikazi au nyumbani au hata kupata marafiki wapya au wapenzi tahadhali mabadiliko haya yanaweza kuja na hasara kuweni makini.
🔯NDOO– (January 20- February 19)
Wewe ndiyo unayetarajiwa kuwa furaha ya mwenzako ukimya wako na kupoteza mawasiliano kunaleta hofu kubwa kumbuka hii ni wiki nzuri ya kuwa pamoja naumpendaye Kuna riziki pia itakuja Kati yenu.
🔯SAMAKI– (February 20– March 20)
Watakaosafiri wiki hii watapata furaha na kufanikisha wanachokitarajia walio na wagonjwa wanatakiwa kuongeza ujasiri na kukabiliana na lolote linaloweza kutokea ila wanaougua watakuwa wenye nafuu pia watasaidiwa zaidi kipindi hiki.
🔯PUNDA– (March 20– April 21)
Utakachosikia Ni kuumbuka au kupata balaa kuwa makini kwa Siku ya leo chochote kinaweza kukutokea.
🔯NG'OMBE– (April 21– May 21)
Una nia nzuri ya kusaidia lakini unakabiliwa na ugumu wako wewe mwenyewe lakini bado una nafasi ya kutoa sadaka.
🔯MAPACHA– May 22– Juni 21)
Kuwa makini kwa kila unacho kifanya kwa Siku ya leo unaweza kuhalibikiwa mipango yako na ukashindwa kutekeleza uoicho kipanga kukitekereza.
MSHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk nakama unaitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya, Facebook>> tumaini tiba asili<<< utaona yota yako ama fika ofisini magomeni msikiti wa kiyungi +255745495181 whatsapp
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments