Nyota Yako Leo Jumamosi 15 Jun 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI 15/JUNE/2019:

🔯KAA–  (Juni 22- Julai 22)
Wikiendi hii tegemea kupata Kazi, mgeni yuko salama na mpenzi wako hajambo. Barua au salamu unazotarajia zitakufikia na mgonjwa atapona na hivi karibuni atakuja. Mchezo, mtihani au usaili( Inteview) utashinda.

🔯SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 23)
Siku hizi za mwisho wa wiki adui yako ataaibika. si lazima usafiri ndipo upate mafanikio unayoyataka. Utafanikiwa kwa nguvu za Mungu. Hata hivyo toa sadaka ya kitu chochote siku ya kesho jumapili

🔯MASHUKE-  (Agosti 24- Septemba 23)
Ukitaka kufanikiwa lazima utumie nguvu yaani upange   mipango yako upya utafanikiwa. Hakikisha mambo yako yote yajulikane.

🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Inaonekana fikra zako ni kuhusunyota  jambo lililopotea na nyumba. muone mtaalamu kabla hujaharibikiwa.

🔯NG'E-  (Oktoba 24- Novemba 22)
Siku hizi za mwisho wa wiki ujue kuwa jambo lolote unalolitaka litakuwa jepesi na litapatikana Ukijua hayo basi itakuwa ni Vyema. Elewa siku ya kutokea shida zako au mafanikio ni leo jumamosi au Mwezi unaokuja.

🔯MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Leo unafikiria kuhusu nyumba, mke au mume au uchumba. Vile vile mambo ya kushirikiana au kazi na kipato Hapo ulipo una taabu na magomvi na unalaumiwa na ugonjwa unakutatiza. Pana  khiyana, kuwa na amani wikiendi itamalizika vizuri.

🔯MBUZI-  (Desemba 22– January 20)
Wikiendi hii nzuri kwako, safari ukiwa nayo ni nzuri na mgonjwa kama yupo au unauguwa wewe basi utapata nafuu au kupona kabisa.

🔯NDOO– (January 21– February 19)
Unashauriwa uache khiana na haraka, achana na huyo rafiki yako ana khiyana mbaya. Jambo lolote unalotaka kujua dawa yake uachane nalo. Kitu kilichopotea au kuibiwa kipatikana.

🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Hapo ulipo inaonekana una shaka kuhusu ugonjwa, wasiwasi, kifo, au pesa au kuondolewa kazini au mali kurithiwa au kuuzwa na kuwekewa rehani. Inaonekana kuna khiyana, taabu tupu, uhusiano mbaya, njia mbaya na unaota ndoto za kutisha. Hayo yote yatakwisha wikiendi hii.

🔯PUNDA- (March 21- April 20)
Siku hizi za mwisho wa wiki unashauriwa uache kabisa kujiingiza katika mambo ya mapenzi kama ukitaka salama yako Lazima ujue kuwa adui yako yupo macho na ana nguvu na lazima utanaswa au kufumaniwa.

🔯NG’OMBE– (April 21– May 21)
Ikiwa ndio umekwisha fikwa na tatizo lolote basi dhibiti au kubali makosa au kubali hasara mara moja kwani njia nyingine yoyote haifai. Ukifanya hivyo utafanikiwa.

🔯MAPACHA-  (May 22- Juni 21)
Wikiendi hii usipate wasiwasi kuhusu safari, kuhamahama au kuhamishwa au habari ya kifo. unataka kujua hali ya mafanikio yako Pana kazi iliyokutoka au kitu. Kuwa na subira hayouyatakayo yatakuja.                                             

SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu. kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. sheikhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager ya Facebook >>tumaini tiba asili<< ama fika ofisini magomeni kanisani   +255745495181  au 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini