NYOTA YAKO LEO JUMAMOSI 22/JUNE/ 2019:
🔯KAA– (Juni 23– Julai 23)
Leo hii unatakiwa kuwa mpole na uwe na hisani kwa kila mtu, tabia hiyo itawafanya watu wakusaidie kwa kila jambo lako utakalotaka kulifanya katika siku ya leo.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Jitahidi sana kujielekeza kwa kufanya mambo mema unaweza kufanikiwa kwa yale ambayo unatarajia kuyafanya usipofuata hivyo utakwama.
🔯MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Usiwe na wasiwasi kabisa leo hii utaona mabadiliko makubwa na mengi sana katika maisha yako Yakitokea hayo yakubali.
🔯MIZANI– (Septemba 24– Oktoba 23)
Umekuwa ukisumbuliwa na mabalaa na mikwamo kwa muda mrefu Sana sasa ndio wakati hasa wa kuyashughulikia hayo matatizo yako na kuyamaliza.
🔯N'GE- (Oktoba 24- Novemba 22)
Leo unawakati mzuri sana kwako hasa katika kutafakari kuhusiana na maisha yako ya baadae, biashara vile vile zitakuwa nzuri.
🔯MSHALE- (Novemba 23– Desemba 22)
Kumbuka bahati huja mara moja tu acha kabisa tabia ya kujivuna na kuonyesha kama hujali binaadamu wenzio sikiliza ushauri wa ndugu zako na wazazi wako na utafanikiwa.
🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Inaonekana fedha zimekuwa zikikupiga chenga kwa muda mrefu sasa, hata hivyo kuwa na faraja kwa sababu nyota zinaonyesha kuwa matatizo hayo yatakwisha na milango ya kipato itafunguka kuanzia siku ya leo.
🔯NDOO– (January 21- February 19)
Leo ni siku ambao unatakiwa kuwa na tahadhari kubwa mambo yako mengi yafanye kimandishi unaweza ukatapeliwa au kudhulumiwa usipokuwa makini Pamoja na hayo ni siku mzuri sana kwako kibiashara.
🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo Tafuta njia ya kuondoa husda nuksi na chuki binafsi kabla hazijaenea sehemu kubwa na kukuharibia mambo yako yote uliyojipangia kuyafanya. Katika mwaka huu.
🔯PUNDA– (March 20- April 20)
Leo amua cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka isi
kuwie vigumu kufanya maamuzi hasa yanayohusiana na maendeleo yako kwa ujumla.
🔯NG'OMBE- (April 21- May 21)
Jumamosi ya leo unatakiwa kujiepushe na ushauri kutoka kwa watu au ndugu wasio na tija kwako Unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kukamilisha majukumu yako yanayokukabili na utafanikiwa.
🔯MAPACHA– (May 22- Juni 21)
Jaribu sana kujiweka mbali na marafiki wabaya kama utataka kufaulu katika maisha yako vinginevyo mambo yako yatakuwa kama ya mwaka uliopita.
SHEIKHE ISAYA ANAMSHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook,>> tumaini tiba asili << utaona yota yako SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments