Nyota Yako Leo Jumanne 11 Jun 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMANNE 11/JUNI/ 2019:

🔯KAA- (Juni 22- Julai 23)
Leo ile Mipango yako au mipangilio uliyokuwa nayo itafunguka Hakutakuwa na mikwamo yoyote mgeni uliyekuwa unamtegemea atakuja na ana mambo yatakayokusaidia sana katika maisha yako.

🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 22)
Jitahidi siku ya leo kadri uwezavyo na ulivyojaaliwa na Mungu kujenga udugu kati yako na familia yako usijiingize katika magomvi unaweza kujikuta ukifedheheka.

🔯MASHUKE- (Agosti 24- Septemba 23)
Leo Utapata wasiwasi mkubwa kuwa makini sana Adui yako inaonekana atakusumbua na kukuzuia wewe kufanya mambo yako uliyokuwa unataka kuyafanya kwa faida yako.

🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Jaribu sana siku ya leo kutafuta undani na ukweli wa mambo yako, kuwa karibu na mpenzi wako au washirika wako katika biashara. Mali au kitu kilichopotea kwa siku nyingi kitapatikana.

🔯NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Leo jitahidi kumuomba Mungu kwa sala kwa mujbu wa imani muda wote huu wa wiki utafanikiwa. Kuna kila Dalili ya wewe kufanikiwa katika malengo yako.

🔯MSHALE- (Novemba 23-  Desemba 21)
Siku ya Leo ni nzuri kuna kila dalili ya kupata kile ulichokuwa unakitaka Utakutana na watu ambao watakusaidia sana kukamilisha malengo yako uliyojiwekea ya kimaisha.

🔯MBUZI- (Desemba 22-  January 20)
Jaribu uwezavyo kuwa mkweli katika mambo yako hasa yanayohusiana na mapenzi ,biashara au maisha yako na utaona faida yake. Kinyume cha hapo utakwama katika mambo yako unayoyafanya.

🔯NDOO- (January 21- February 19)
Siku ya leo Kama ulikuwa na mipango yako jiandae kufurahi kwa sababu mambo yatakuwa mazuri na faida kubwa kwako. Jamaa yako aliyekuwa mbali atarudi baada ya wiki.

🔯SAMAKI- (February 20- March 20)
Leo ndoto zako zitatimia na utakuwa na uwezo wa kutekeleza yote ambayo uliyokuwa umeyadhamiria katika kipindi hiki kuwa na subira kila kitu kitakwenda bila mikwamo yoyote.

🔯PUNDA- (March 20- April 20)
Leo usijaribu kukiuka makubaliano uliyowekeana na jamaa zako vinginevyo utajikuta ukipata mikwamo hasa ya kifedha Inaonekana utapata mafanikio makubwa na kutimiza malengo yako uliyojipangia.

🔯NG'OMBE- (April 21- May 21)
Kuna mambo utayaona kati ya leo na kesho na utapata mafanikio makubwa Tegemea safari itakayokupeleka sehemu ambayo hukuitarajia.

🔯MAPACHA- (May 21-  Juni 20)
Leo kuwa macho na Elewa kuwa Kuna mtu wako wa karibu anakusengenya unaweza kukosa yale yote uliyokuwa unayategemea Ukikwama katika mambo yako muone mkubwa aidha wa serikali au dini akusaidie.                                                         ________________________________________________

SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake sheikhe isaya atakusaidia, kusafisha nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk           SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE
magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager ya Facebook >>tumaini tiba asili << +255745495181   au   0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini