NYOTA YAKO LEO JUMAPILI 2/JUNI/ 2019:
🌟NG'OMBE- (Aprili 21- May 21)
Unafunguliwa unarahisishiwa mambo mwenyewe unayafunga sahau yote yaliyopita anza sasa kutafuta kila kilichokwama na kitafunguka dhahiri.
🌟MAPACHA- (May 22- Juni 21)
Unatamani huku unasita hatimaye siku nazo zinapita ukija kushtuka unaanza tena tatizo lako ni kutojua siku gani inastahili kufanya jambo fulani unaonekana kupoteza nafasi nyingi za mafanikio uliza.
🌟KAA- (Juni 21- Julai 23)
Kila unachofanya kinatoka nje hakuna sababu nyingine ni wewe mwenyewe hili sasa lisitoke tena uwe mwenye kutunza siri hasa ya jambo utakalolipanga jumapili hii mafanikio yako pia ni ya siri kubwa.
🌟SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Unaona fahari kutangaza mafanikio yako hujui kumbe ni hasara asiyehusika kujua njia zako tabia ya kutoweka jambo moyoni ni afadhali uisitishe kwa muda hadi utakapofanikisha bahati iliyopo mbele yako.
🌟MASHUKE- (Agosti 23- Septemba 23)
Wenzako wanakusikia lakini wewe hujisikii unajishusha bila sababu hii itakufanya ushindwe kuvuka hapo ulipo tumia jina na nafasi yako kujijengea mafanikio ya maisha yako.
🌟MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Mazuri yako yanakuja tatizo hujui jinsi ya kungoja subiri jambo ulilotarajia lipo njiani sasa funga idadi ya marafiki wasizidi na utakapopata uwe mwenye kujali ulipotoka tabia ya kuweka jambo moyoni nayo itakucheleweshea mafanikio.
🌟NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Unahisi kudhoofu unajuwa pia na hofu lakini hujui sababu zake rudi kwenye maadili unayoyaacha familia inakulaumu na kukupunguzia bahati.
🌟MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Kuna jambo unafikiria wapi utatatulia nafasi ni yako milango ipo wazi ukitafuta kazi au jambo linalokusibu ndiyo muda huu una siku 12 za mafanikio ndani ya mwaka huu.
🌟MBUZI- (Desemba 22- Januari 20)
Jambo linalokumbua linafikia tamati unalolifikiria kwa siku hii hulipati kuna milango imefungwa sharti urudi tena kuomba ushauri au kutoa sadaka kama funguo za kuingia kwenye mafanikio.
🌟NDOO- (Januari 21- Februari 19)
Jambo la heri utalisikia na mambo mazuri yamekusogelea siri ya kupata mafanikio ni kusaidia au kutoa sadaka kwa watoto hata wawili jambo utakaloanza nalo mwanzo litafanikiwa kuliko utakalolikuta katikati chunga sana aina za mambo ya kufanya.
🌟SAMAKI- (Februari 20- March 20)
Utawatia hofu wenzako kuna jambo litakulazimu kulisimamia huku ukitazamwa Wewe kwa uamuzi ila ni siku yenye baraka nyingi za kipato fedha na maelewano na watu.
🌟PUNDA- (March 20- April 20)
Unahitaji kujulishwa usichokijua unahangaika kujua tumia nafasi yako kutafuta ukweli usifiche jambo lisilostahili kulificha maana utaficha na riziki zako. ________________________________________________
SHEIKHE ISAYA MWENYE UWEZO WA KUFANYA dua na visomo atakusaidia katika mambo yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa, nussi, mikosi , kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI, SIMU au whatsapp +255745495181 0782644040 ukiitaji kufatilia nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya >Facebook >>tumaini tiba asili<< au Tembelea
www.tumainitibaasili.co.tz
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments