Nyota Yako Leo Jumapili 16 Jun 2019 | ZamotoHabari.

NYOTA YAKO LEO JUMAPILI 16/JUNI/2019:

🔯KAA– ( Juni 21- Julai 22)
Umesitasita kwa muda mrefu sasa katika kufanya maamuzi lakini leo ndio siku ya kufanya maamuzi Usiogope fedheha piga moyo konde iwapo unataka kufaulu.

🔯SIMBA LEO- (Julai 24– Agosti 22)
imekuwa vigumu kwako kufanya maamuzi kuhusiana na mambo Fulani na ukajikuta uko njia panda itakayokutenganisha na mambo mengi. Leo amua cha kufanya katika kufikia malengo yako unayoyataka.

🔯MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Leo utahitaji ushauri wa dharura na wa kitaalamu ili kuweka mambo yako sawa. Kutimia kwa mipango yako uliyonayo wakati huu kunategeme wewe utajihusisha na watu wa aina gani.

🔯MIZANI- (Septemba 24– Oktoba 23)
Leo ni jumapili nzuri sana kwako hasa katika kutafakari kuhusiana na maisha yako ya baadae, yaweke pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako.

🔯NG'E- (Oktoba 24– Novemba 22)
Leo matatizo mengi ambayo yatakuandama yatakuwa yanatokana na nuksi au husda kwa upande wako, Tafuta njia ya kuondoa husda hiyo au nuksi hizo kabla hazijaenea sehemu kubwa.

🔯MSHALE- (Novemba 22-  Desemba 21)
Leo Ondoa khofu. Nyota yako itakuletea mabadiliko makubwa na mengi sana katika maisha yako Yakitokea hayo yakubali tu aidha yakiwa ni mazuri au mabaya hatimaye utamakinika na utaona fanda ya mabadiliko hayo.

🔯MBUZI- (Desemba 22– January 20)
Leo utahitaji ushauri wa dharura na wa kitaalamu ili kuweka mambo yako sawa. Kutimia kwa mipango yako uliyonayo wakati huu kunategeme wewe utajihusisha na watu wa aina gani. itawafanya watu mara kwa mara ili uwape msaada kama unavyotoa kwa wengine na wakija wasaidie wala usichoke.

🔯NDOO- (January 20- February 19)
Jaribu sana kujiweka mbali na marafiki wabadhirifu iwapo utataka kufaulu katika maisha yako. umekuwa ukitumia vibaya fedha zako katika siku za hivi karibuni kiasi cha kumeshindwa kutekeleza baadhi ya majukumu yako ambayo umejipangia wewe mwenyewe.

🔯SAMAKI- (February 20- March 20)
Leo jitahidi kujiepusha na marafiki wasio na tija kwako Unahitaji utulivu wa hali ya juu katika kutekeleza majukumu yako yanayokukabili wewe na umpendae unaweza ukapa ufumbuzi au utatuzi wa shida zako zinazokukabili.

🔯PUNDA- (March 20- April 20)
Umekuwa ukisumbuliwa na mikosi na matatizo sasa kwa muda mrefu na leo ndio wakati hasa wa kuyashughulikia hayo matatizo yako na kuyamaliza.

🔯NG'OMBE- ( April 21- May 21)
Leo kuwa na moyo mkunjufu. Jitahidi kujielekeza kwa mambo mema na usijaribu kusema uongo unaweza kuumbuka.Utakutana na mgeni na atakutaka muwe marafiki, mkubalie kwa sababu utapata faida kubwa kwa hilo.

🔯MAPACHA– (May 22- Juni 21)
Leo kuna bahati kubwa sana itakujia upande wako ,watu wengi watakuchangamkia na watakuwa tayari kukusaidia kuyashughulikia matatizo yako yanayokukabili.                                 

SHEIKHE  ISAYA  ANASHUKURU  MWENYE  mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri na kusafisha nyota. kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk nakama naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili<< utaona yota yako. ama fika ofisini magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp +255745495181   0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini