NYOTA YAKO LEO JUMAPILI JUNI 23/2019:
🔯KAA- (Juni 22- Julai 23)
Leo inaweza ikawa si Siku njema kwako. fikiria kuhusu maisha yako, weka pembeni mambo ambayo unayaona hayana maana kwa sababu maisha yako ni muhimu sana kuliko jambo lolote jingine linalokukabili. Ila pambana na hali hiyo na utafanikiwa.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Leo ni siku njema ila Jitahidi sana kutekeleza ahadi ulizowaahidi watu Kama ikiwa ni vigumu kwako kutimiza ahadi basi waambie wasubiri lakini kamwe usighairi. Kuwa msikivu na utapata faida kubwa.
🔯MASHUKE- (Agosti 24 Septemba 23)
Siku ya leo utashangazwa na jinsi mambo yatakavyokuwa kukunyookea kila kilichosimama kitakwenda unashauriwa kuifuatilia Nyota yako kujua usafi wake epuka kukutana na mtu usiyemjua muda wa asubuhi.
🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Jumapili ya leo Utakutana na ndugu ambaye atakuhitaji sana umsaidie katika jambo nyeti na la faragha. Msaidie na Mpe anachohitaji kwa sababu ameteseka sana. na utapata faida kubwa kwa hilo.
🔯NG'E- (Oktoba 24 Novemba 22)
Leo inaonekana Kuna mambo muhimu ya kwako na ya watu wengine ambayo unataka kuyafanya na yanahitaji busara. Pamoja na hayo unahitaji msaada wa watu wengine kuweza kufanikiwa.
🔯MSHALE (Novemba 23– Desemba 22)
Umeshaelewa nini chakufanya kipindi hiki ili kutoka hapo ulipo na kusogea juu usibadilishe utaratibu huo lakini Endelea kuwa na tahadhari hasa kuacha kushirikisha marafiki wasiokuwa na faida kwako.
🔯MBUZI– (Desemba 22– January 20)
Leo ni siku njema kwako ila Fanya kila njia usiwe mpweke. Kaa karibu na watu wako waambie mawazo yako na waombe wakupe ushauri kutokana na changamoto zinazokukabili na utapata ufumbuzi wa matatizo yako.
🔯NDOO– (January 21- February 19)
Leo hakikisha unajishughulisha na mambo ambayo watu wanayasema kwa sababu shida na matatizo waliyonayo hivi sasa ni makubwa. jambo la muhimu kwako ni kuwa muangalifu katika kila jambo lako na utafanikiwa.
🔯SAMAKI– (February 20- March 20)
Leo hakikisha unashirikiana na watu kwa sababu unaweza kupata maarifa ya kufanikisha shughuli zako muhimu ulizonazo kwa sasa. kuwa macho wadanganyifu ni wengi na wanafikiria namna ya kukudhuru.
🔯PUNDA- (March 20- April 20)
Leo itakuwa ni siku ya bahati kwako na mipango yako itakwenda kama unavyotarajia, Hali hii au bahati hii ni ya muda tu baadae mambo yatakuwa mazito tumia fursa hii kukamilisha kila jambo lako ulilokuwa nalo.
🔯NG'OMBE- (April 21- May 21)
Leo ni siku njema kwako na ila Utajihisi kuwa na hasira na utakasirika bila ya kuchokozwa na mtu yoyote. Hakikisha unajizuia kushiriki katika ubishani Ni afadhali uonekane mjinga kuliko ukiwa hasira.
🔯MAPACHA– (May 22- Juni 21)
Leo ni Siku nzuri sana kwako Tumia siku ya leo kufanya mambo yako mwenyewe yale yote ambayo unayaona ni ya muhimu na yanayoweza kukuletea faida katika maisha yako. Jitahidi kujenga umoja na watu wako unaoshirikiana nao na wale wa familia yako.
SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYEZI mungu kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili <<utaona yota yako ama SHEIKHE ISAYA ANAPATIKANA OFISINI KWAKE MAGOMENI MSIKITI WA KINYUNGI SIMU AU WHATSAPP +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA
0 Comments