NYOTA YAKO LEO JUMATANO
🔯MAPACHA- (May 22- Juni 21)
Matembezi ya huku na kule yatakuwa yenye faida kwako. Muda huu ni muwafaka kuhama kuelekea makazi mapya.
🔯KAA- (Juni 22- Julai 23)
Utapoteza kitu muhimu.Vizuri uwe karibu ya wazazi wako,pia maongezi kati yako na wao ikiwa wapo karibu itakuongezea baraka.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 23)
Utafanikiwa mambo yako.Uhusiano utakuwa ni mzuri. Utapokea ujumbe utaokuongezea faraja.
🔯MASHUKE- (Agosti 24- Sept 23)
Tembelea kwa baba zako au ndugu zako lipo jambo muhimu utalijuwa Maradhi yatakuandama ambayo yatakuweka uwe mnyonge.
🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Utapata kero kwa mizozo itayokukuta Utie
keleze ahadi ulizoziweka siku zilizopita.kama unamadeni ni vizuri uyalipe kwa wenyewe.
🔯NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Uwe muangalifu kwa kuwa mipango mingi haitokamilika. Habari nyingi zitakuongezea huzuni.
🔯MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Jitahidi kusoma vitabu,magazeti,lipo jambo muhimu ulilokuwa walitafuta utaligunduwa.
🔯MBUZI- (Desemba 22- January 20)
Bahati za kupata kipato utazipata kwa kuoneshwa njia zake. Kipato au faida utafanikiwa kwa kiwango kikubwa.
🔯NDOO- (January 21- February 19)
Utafanikiwa mipango yako uliyoikusudia ni vizuri uitekeleze Namba yako yakufanikiwa ni (15) .
🔯SAMAKI- (February 20- Machi 20)
Utawekewa uzito katika mipango yako ya kimaendeleo Usumbufu utaongezeka mara kwa mara. Unyonge utaendelea kukuandama.
🔯PUNDA- (Machi 21- Aprili 20)
Utasafiri kisha safari itakuwa nzuri.Utajuwa muelekeo wa mipango yako. Utafaulu mambo mengi uliyonayo.
🔯NG'OMBE- (Aprili 21- May 21)
Utapata faida na utapata hasara…kutokea kwa vitu hivi isikushughulishe kwa kuwa mipango itaendelea kuwa mizuri. Wakati mzuri ununue ulivyokua
SHEIKHE ISAYA ATAKUSAIDIA KATIKA MAMBO yafatayo, kusafisha nyota, kuondoa nussi mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku ingia katika pager yetu ya Facebook >>tumaini tiba asili<<utaona yota yako, ama kwa ushauri piga simu au whatsapp +255745495181 0682644040 http://bit.ly/2RSqs1q
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments