NYOTA YAKO LEO JUMATANO 12/JUNI/2019:
🔯KAA– (Juni 22- Julai 23)
Leo kuwa makini na afya yako, unaweza ukakumbwa na maradhi ambayo yakakuletea hatari na kusababisha afya yako kuteterekea. Ukipata ,muda wa kupumzika tumia nafasi hiyo kupumzika.
🔯SIMBA LEO- (Julai 24- Agosti 22)
Matatizo uliyonayo ya kukosa kazi au kutopata kile ambacho unakitarajia yataendelea kuwepo wiki hii.jambo kubwa unalotakiwa kulifanya ni kuwa na subira na mambo yatafunguka.
🔯MASHUKE– (Agosti 24- Septemba 23)
Leo inaonekana kuna jambo au kitu unahaja sana ya kukipata hasa kwa wakati huu, jambo hilo limechelewa kwa muda mrefu. Usikate tamaa pambana utafanikiwa.
🔯MIZANI- (Septemba 24- Oktoba 23)
Siku ya leo Zidisha juhudi katika mambo yako maana inaonyesha bado nyota yako inausumbufu wa mafanikio.
🔯NG'E- (Oktoba 24- Novemba 22)
Jitahidi kadri uwezavyo kuwa karibu na watu wako kwa muda wote huu wa wiki hii. Kitendo hicho kitakuletea bahati kubwa na uelewano mzuri kwako.
🔯MSHALE- (Novemba 23- Desemba 21)
Leo jitahidi kadri uwezavyo kuondoa tofauti zilizopo kati yako na watu wako.kitendo hicho kitakuletea Baraka kubwa na mafanikio wiki yote hii.
🔯MBUZI- (Desemba 22- January 20)
Leo jitahidi kumshirikisha jamaa yako katika mipango yako hasa ya kibiashara. Kwa kufanya hivi utajipunguzia mawazo mengi na utapata faida kubwa katika mambo yako.
🔯NDOO- (January 21- February 19)
Leo fanya uwezavyo kurudisha uhusiano na rafiki yako uliyekosana naye. Hali hiyo itakupa Baraka na kumfanya huyo mliokosana naye kujirudi na kujirekebisha makosa aliyoyafanya kwako.
🔯SAMAKI- (February 20- March 20)
Leo Jaribu sana kuwa na uelewano, huruma ,upendo na unyenyekevu kwa watu wako katika kila jambo. Utapata sifa na faida kubwa.
🔯PUNDA- (March 20- April 20)
Leo itakuwa siku nzuri sana kwako na jitahidi kwa kardi ya uwezo wako kutoa msaada kwa yoyote Yule atakayekujia kutaka msaada wako. Pamoja na hayo tumia akili na busara katika kuyafanya hayo.
🔯NG'OMBE- (April 21- May 21)
Leo kama una safari itakuwa nzuri sana yenye manufaa na faida kubwa, nenda katika safari hiyo bila ya kuwa na wasiwasi wowote. Utakachokipata jaribu kuotoa sadaka.
🔯MAPACHA- (May 21- Juni 20)
Leo ni siku nzuri kwako hasa katika masuala yanayohusiana na mapenzi au ndoa, kama kuna magomvi kuhusiana na hayo yatamalizika na utafurahia maisha. Kama kuna mapingamizi katika mambo yako muone mnajimu akusaidie kuyaondoa.
SHEIKHE ISAYA ANAWASHUKURU MWENYE Mungu. kwa kumpa karama na uwezo wa kufundisha. na kuwaombea dua viumbe wake. na anawashukuru wote mliorudi kutowa shukrani kwake. wengine mlioko nje ya nchi. shekhe isaya anatabiri nyota, kuondoa nussi, mikosi, kutoa majini wabaya, kutafsiri ndoto, kumvuta na kumrundisha mmeo ama mkeo, kupata kazi, kupata cheo, kushinda kesi, kufaulu masomo, nk naukiitaji kufatiria nyota yako kila siku, ingia katika pager yetu ya Facebook, >> tumaini tiba asili <<au fika ofisini magomeni msikiti wa kiyungi simu au whatsapp +255745495181 0682644040
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA




0 Comments