Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Songas Tanzania, Nigel Whitaker (Watatu kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Shilingi milioni 108 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sea Sense, Joana Trindade (watatu kulia), kwa ajili ya wa kuchangia TZS 108 milioni kudhamini programu ya mafunzo ya mwaka mmoja kuwawezesha wananchi katika kisiwa cha Kilwa kupata elimu ya utunzaji wa fukwe na uvuaji salama mapema leo katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Songas imetoa msaada wa shilingi huo kama jitihada za kudumisha viumbe hai na kuchochea ukuwaji wa sekta ya uvuvi nchini. Wa mwisho upande wa kulia ni Afisa Mkuu wa Biashara na ufuatiliaji, Sebastian Kastuli na Mshauri wa masuala ya kiufundi, Bi. Lindsey West. (wamwisho kushoto).
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Songas Tanzania, Nigel Whitaker (wapili kushoto aliekaa) akisaini mkataba na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Sea Sense, Joana Trindade (wa kati aliekaa), kwa ajili ya wa kuchangia TZS 108 milioni kudhamini programu ya mafunzo ya mwaka mmoja kuwawezesha wananchi katika kisiwa cha Kilwa kupata elimu ya utunzaji wa fukwe na uvuaji salama mapema leo katika ofisi za kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Kampuni ya Songas imetoa msaada wa shilingi huo kama jitihada za kudumisha viumbe hai na kuchochea ukuwaji wa sekta ya uvuvi nchini. Wa mwisho upande wa kushoto alieketi ni Afisa Mkuu wa Biashara na ufuatiliaji, Sebastian Kastuli na Mshauri wa masuala ya kiufundi, Bi. Lindsey West (wapili kulia), wengineo ni wafanyakazi wa kampuni ya songas .
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments