Taifa Stars Basi Tena Yachezea kichapo dhidi ya Kenya | ZamotoHabari.

Kikosi cha Taifa Stars kimpoteza tena mchezo wa Kombe la Mataifa ya Afrika awamu hii dhidi ya Kenya kwa kuchapwa mabao 3-2.

Kipigo hiki kimekuwa cha pili baada ya mechi ya kwanza kufungwa mabao 2-0 na Senegal.

Mabao ya Kenya yamefungwa na Michael Olunga aliyeingia kambani mara mbili huku moja likiwekwa kambani na Johanna Omolo.

Taifa Stars imefunga mabao yake kupitia kwa Mbwana Samatta na Simon Msuva.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini