Timu Samatta Waishushia Kichapo Kizito Timu Kiba | ZamotoHabari.

Mchezo kwa sasa uwanja wa Taifa wa kirafiki kati ya timu Kiba na timu Samatta umekamilika kwa timu Kiba kufungwa mabao 6-3 na timu Samatta. 


 Katika mchezo huo, Abdu Kiba wa timu Kiba amekosa penalti mbili kwenye kikosi chake zote zikisababishwa na Mwinyi Kazimoto. 


Magoli ya timu Samatta yalifungwa na Hassan Kessy, Mbwana Samatta aliyefunga mawili, Thomas Ulimwengu, Kelvin John na Shaban Chilunda. Huku magoli ya timu Kiba yakifungwa na Simon Msuva aliyefunga mawili na Meddie Kagere. 







Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini